Bing Vyanzo vya data vya COVID-19

Vyanzo vinavyotumiwa kwenye kifuatilia COVID-19 cha Bing.

Bing inalenga kukupatia maelezo sahihi, ya hivi karibuni, na yaliyo kamili kabisa kwa kutumia data kutoka kwenye vyanzo kadhaa vinavyosifika kote ulimwenguni. Nyakati za kuripoti, marudio ya visasisho, na kiwango cha maelezo hutofautiana kulingana na chanzo.

Data inapatikana kutoka kwenye tovuti zifuatazo:

Note

Maelezo ya kimatibabu kwenye Bing hayanuiwi kuwa ushauri wa kimatibabu na hayahusishi kila mtu. Wasiliana na mhudumu wa afya iwapo una wasiwasi wa kimatibabu. Kunapotokea tukio la dharura ya kimatibabu, mpigie simu daktari wako au pigia simu nambari ya dharura ya ndani papo hapo.

See more videos...